Hataki niende kwao kwakua sina kazi

john mwingira

New Member
Oct 19, 2013
2
1
Naombeni ushauri wenu,

Ninamchumba pindi niko na job nilimwambia anipeleke kwao alikataa na kunijibu kwamba ni mapema kwa bahati mbaya nimeacha kazi ananiambia hawezi kunipeleka kwao hadi niwe na kazi, na kwasasa ukipigiwa simu au text anakwambia yuko busy na kazi.

Naombeni ushauri
 
Mkuu Umepigiliwa Msumari hapo Hapendwi Mtu Pochi kwanza

Expensive Shit :eek::eek::eek::eek::eek::eek:
 
sasahapo inategemea...asije penda kazi badala ya kukupenda wewe...so inategemea dhanayao ikoje....maanza kazi haimaanishi hutapata au ndio huna na hutapata...kwani ukienda ikawa unatafta kazi sasa hivi ndio status yako kuna shida...? maana sasa kuwa makini...usije oa mke anayeolewa na kazi
 
Mtumie sms mwambie nimepata kazi na nina pesa kama kilo 8 hivi ,njooo unisaidie kununua furniture
 
mpaka hapo umeshaona huyo demu hawezi kuwa mke mwema .. shukuru mungu na songa mbele kama hutaki ujue atakuwa mke wa raha shida utakuala mwenyewe
 
Tafuta pesa. . Huna kazi unakaa kumuwaza wakati yeye anakwambia yuko busy na kazi
 
katafute kazi boss atakuja mwenywe kuomba akupeleke af ikifika huo muda na wewe anza kua busy busy kidgo
 
Back
Top Bottom