Unadhani tendo la ndoa lililokuleta duniani lilifanyikia wapi? Kitandani au kwingine?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Habari wanajamvi?
Nimetafakari sana haya mapenzi ya kileo tofauti na baba zetu walikuwa wanafanyia kitandani ila mapenzi ya leo yanafanyikia sehemu mbalimbali. Wengine juu ya kochi, juu ya meza, kwenye kiti, bafuni, juu ya toyo, ndani ya gari, na maeneo mengine hata hayafai kutaja.

Hoja ni kwamba tendo lililosababisha ukapatikana lilifanyikia mazingira gani. Ukichukulia mazingira na mikao unayoitumia kwa sasa wakati wa tendo la ndoa, unadhani wewe ulipatikana katika mazingira yepi? Tujuze mkuu halafu tuambie na wanao umewapata mazingira yepi? Kuna mengine yanatia aibu mfano juu ya toyo tena uchochoroni!
 
Wewe lilifanyikia wapi ndo ukazaliwa wewe.., hebu anza wewe kutuambia...
 
Mada nyingine bwana.Hivi mtu mpaka unataka kujua ulipatikanaje hudhani kama ni kudhalilisha wazazi wako.God forbid!Samahani ni mtazamo tu
 
huwezi kujua na wakati mwengine hata ao wazazi hawajui walifanya mapenzi wapi
 
Mada zingine kujadili ni kujichumia tu laana kutoka kwa wazazi wetu. Hivi mtoa mada unafikiri ungewauliza wazazi wako hili swali wangekujibu vipi?

Ukijua itakusaidia nini?
 
Habari wanajamvi?
Nimetafakari sana haya mapenzi ya kileo tofauti na baba zetu walikuwa wanafanyia kitandani ila mapenzi ya leo yanafanyikia sehemu mbalimbali. Wengine juu ya kochi, juu ya meza, kwenye kiti, bafuni, juu ya toyo, ndani ya gari, na maeneo mengine hata hayafai kutaja.

Hoja ni kwamba tendo lililosababisha ukapatikana lilifanyikia mazingira gani. Ukichukulia mazingira na mikao unayoitumia kwa sasa wakati wa tendo la ndoa, unadhani wewe ulipatikana katika mazingira yepi? Tujuze mkuu halafu tuambie na wanao umewapata mazingira yepi? Kuna mengine yanatia aibu mfano juu ya toyo tena uchochoroni!

matusi haya.
 
Dah umefikilia nini kwanza mkuu mtoa mada kuandika thread ya hivi.Yaani lengo kuu ni nini hasa?nauliza tu.
 
Hizi ni dalili za wazi kuwa hiki ni kizazi kilicholaaniwa.......ipo siku utamuomba mama yako akufunulie ili uone ulipotoka.....
 
Back
Top Bottom