famicho
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,191
- 2,852
Habari zenu wadau,
Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika (hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi wa ndani.
Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita wa awali kwa kiasi kikubwa.
Tatizo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.
Kutokana na sababu hizo naombeni ushauri wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.