tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Si vibaya kwa binti kumgusa gusa bwana wake wawapo kwenye Private ndinga (Gari binafsi). Ni jambo lisilozuilika, lakini lisipofanywa kwa tahadhari, laweza kuwa chanzo cha ajali.
Unakuta Gari iko highway, spidi ya juu taratiibu mchuchu/bitotoz unakugusagusa miguu, Mara mkono Mara shingo Mara mabega, Mara unakuinamia in the name of love a.k.a mahaba. Ghafla mzuka unakupanda unapoteza umakini kwenye sterling.
Ukimzuia anaona unamdis, ukimruhusu ndio hivyo tena roho mkononi. Ni sheedar.
wanawake tafadhali nawaomba mpunguze manjonjo hasa tukiwa behind the sterling japo tunayahitaji vilevile.