Je, Wivu kupita kiasi ni kipimo kwamba msichana anakupenda?

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Wadau,

Hasa wanawake wivu wenu wa kupindukia ni kwamba unampenda huyo mumeo au zuga tu.Mimi nina wivu ila simpendi kivile huyo nilienae.
 
Wivu kupita kiasi ni ugonjwa huo katika mahusiano. Huleta matatizo mengi
 
Ukiona wivu umezidi sana tambua ni mbinu ya kujilinda usimchungushe na atengeneze mazingira ya kukuchuna vizuri
 
Ukishakuwa na wivu kupiliza nakuweka kwenye kundi langu la kukupuuza jua hiyo ndio imetoka zama zako zimeisha....ukiona mtu anakuwa na wivu kupindukia basi huyo ndio mtendaji
 
Back
Top Bottom