Natafuta mke wa pili

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Hi wanaboard.

Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.

(Quran 4:3)

...oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Am Tazanian Muslim, 40yrs of an age. Mimi nina kipato changu cha wastani wa 2mil. kwa mwezi.
Nshapima UKIMWI, sina(Alhamdullillah)

Mke huyo awe Muislamu mwenye umri usiozidi miaka 20(Sunna), mzuri(napenda mweupe, figure namba 8, urf around ft 6 ivi), awe mfanyakazi/mfanyabishara na awe tayari kupima UKIMWI na maradhi mengine ambukizi
 
Beiiby Beiiby nakupenda xana,nishike nikushike milele tusije kuachana

Baki na miimii ii wengine wa niinii miimii, naogopa maradhi ndo maana npo makini mimi
 
Hivi Kaboom ameiona hii dedication yako ya Valentine kwangu?
 
Naona unataka kulea katoto! Sasa miaka 20 atakuwa kashamaliza shule na kazi juu?
 
wazo zuri ndugu yangu ila kwa ushauri kama una nia ya kweli, swali rakaa 2 Allah atakupa mke mwenye heri na wewe dunian na akhera.
ila kaka kwanini awe mfanyakazi?
Mweney kipato ni bora ili tusaidiane maisha, ni kama vile mama yetu Bi hadija(RA) alikvyokuwa msaada mkubwa kwa Mtume Muhammad(SAW).
 
Vizee bwana! Sasa nyie mkioa wa miaka 20 sisi vijana tuoe wa umri gani?
Tatizo lenu mnakimbia Ndoa, ni sunna ndugu yangu kuoa msichana mdogo kama alivyofanya Mtume wetu Muhammad kwa Bi Aisha(RA). Na ni sunna bora sana sana bint huyo akiwa mjuzi wa wa Quran takatifu, uzuri wake ni kuwa utapata watoto bora watakao kuja kuumbea kwa Allah wakati haupo duniani.
 
Ngoja faizyfox aje
Mostly welcome
wazo zuri ndugu yangu ila kwa ushauri kama una nia ya kweli, swali rakaa 2 Allah atakupa mke mwenye heri na wewe dunian na akhera.
ila kaka kwanini awe mfanyakazi?
Shukran, sunna ya rakaa mbili juu ya hili huifanya kila usiku kabla ya kulala. Nimerekebisha sheikh wangu, nimetoa fursa kwa wafanyabiashara pia.
 
Beiiby Beiiby nakupenda xana,nishike nikushike milele tusije kuachana
Beiiby Beiiby nakupenda xana,nishike nikushike milele tusije kuachana
Baki na miimii ii wengine wa niinii miimii, naogopa maradhi ndo maana npo makini mimi
yawezekana beib rubii, lakini si mbaya kuwa na mwenzako wa kusaidia mawazo na pia kutimiza nae amri ya Allah. Wawili ni bora kuliko mmoja.
 
Hi wanaboard.

Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.

(Quran 4:3)

...oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Am Tazanian Muslim, 40yrs of an age. Mimi nina kipato changu cha wastani wa 2mil. kwa mwezi.
Nshapima UKIMWI, sina(Alhamdullillah)

Mke huyo awe Muislamu mwenye umri usiozidi miaka 20(Sunna), mzuri(napenda mweupe, figure namba 8, urf around ft 6 ivi), awe mfanyakazi/mfanyabishara na awe tayari kupima UKIMWI na maradhi mengine ambukizi
Mkuu kwa kipato chako huwezi pata binti wa vigezo vyako, ivo vigezo wanahitaji kipato zaidi ya icho. tafuta tu mkubwa mwenzako mmalizie ujana.
 
Back
Top Bottom