Kwa hakika mimi uwa nikiwa na pesa nakuwa na mishe mishe nyingi sana, hata nikikutana na demu mkali nakuwa nipo katika kiwango cha juu kama mesi cha kutongoza.
Ninakuwa na hamu ya kukutana na ndugu, jamaa, na marafiki, ila bana nikiwa sina pesa nikimuona mwanamke namuogopa wala kumtongoza siwezi.
Sihangaiki kuwatafuta ndugu wala marafiki hata maclassmates wangu huwa nawakwepa sana sana wanawake uwa sipendi tukutane kabisa, yaani ninakuwa bonge la mpole hata mtu anaweza sema nimeokoka na sa hiyo hata church siendi ila bonge la mstarabu.
Hii tabia ni kwangu tu au na nyie mpo hivi?