Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,050
- 40,018
James,
Siwezi kutazama nyuma kwani nimegundua mapenzi yaweza mkuta mzee au kijana hayajali umri ulio nao.
Kasie mie ni kibibi bin ajuza ngozi imeanza kupata makunyanzi lakini mapenzi yako kwangu najiona kama ni mschana wa miaka 18.......
Macho yangu mtazame James..... weeweeee ndo nakupendagaa... Moyo wangu tembea na James ...... namwamini sana.......
Shika moyo wangu baby uutunze.... huenda nafsi yangu ikapoaa aah aahaa...
Kuna mudaa namuomba Mola angekuleta mapemaa oooh ila .............
James ndo unayejua maumivu yanguuu
Mooyoo wangu.........
Love you James. .......
Happy Valentine from Kasie.
Muah!!
"Tears on my pillow..... pain in my heart caused by you........"