Shemeji hataki kulipa deni anadai tumalizane tu

Shemeji hataki kulipa deni anadai tumalizane tu

sheikh yasin

Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
61
Reaction score
50
kwa karibu miezi minne sasa hali yangu kiuchumi imeimarika mara dufu, hii imepelekea rafiki yangu wa karibu kuja kuazima cash mara kwa mara kwangu

Sasa mkewe ni mfanyabiashara, na nna ukaribu na wote wawili, huyu dada watu wa mikopo walikuja saloon kwake kukamata vitendea kazi kwa kua hakupeleka marejesho, ndipo akanipigia simu nimsaidie, 350,000/= ili wasichukue vitu, kuwa atanirudishia, nikamtumia hapo hapo kwa M_pesa

Basi siku moja akaniita nyumbani, nikaenda nikijua mshikaji nae yupo, na pia nikajua naenda kupewa hela, nasikitika kufika pale bila kukusudia tukatenda dhambi, ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia hiyo, nilimkuta kajifunga mtandio tu bila chochote ndani,
Tumeshatenda dhambi kama mara nne hivi, na sasa hivi kasema nikiwa namuhitaji niwe namueleza tu tunaenda sehemu tunamalizana ila hela yy hana, kwamba hadi nitakapochoka mwenyewe au nitakapoona hela imeisha

Sasa wadau kwa hali hii nitapataje hela yangu na mm nimeitoa kwenye mzunguko wa biashara, mshikaji analijua hili deni maana siku watu wa mikopo walipoenda kukamata vitu vya mkewe yy ndie alimshauri anijaribu mm, sasa hivi nikimkumbusha mshikaji deni anasema nimwambie mwenye deni mwenyewe
Sasa hizi ndugu zangu si lawama? Au niendelee tu kupumzika na mkewe hadi nitosheke?
 
We subiri uje ukamuliwe ...siku za mwizo ni 40 na kila jambo lina mwisho wake...yatakayokukuta ni mabaya zaidi kuliko hiyo fedha yako
 
Tamaa mbaya, dah ndo mana mimi nilighairi mipango ya ndoa. Kushare limekua jambo la kawaida kabisa siku izi.
 
kwa hiyo hela utapiga mashine mara ngapi ndo uone hela yako imeisha!
 
duuh! mara 4 unarudi kwa mke wa mtu,inaonekana unamdharau mume wake....umefanya kosa kubwa.
anyway,hyo hela hupat tena na biashara yako itayumba,,,na mwisho lazma watakula dem wako au utaliwa ww kabsa....ngoja tusubiri mrejesho
 
kimsingi umeshalipwa deni lako kwani umeshafanya mara nne @ 87,500: Hivyo 87,500 * 4 = 350,000. Deni limeisha nenda nyumbani🙄🙁
 
duuh! mara 4 unarudi kwa mke wa mtu,inaonekana unamdharau mume wake....umefanya kosa kubwa.
anyway,hyo hela hupat tena na biashara yako itayumba,,,na mwisho lazma watakula dem wako au utaliwa ww kabsa....ngoja tusubiri mrejesho
unafikiri akiliwa tutapata mrejesho 😉
 
Kwa hiyo ukitosheka na kuona ngono na mke wa rafikiyo imelipa deni, utamweleza rafikiyo deni umelipwaje? unadhani atakuamini?

kwa mujibu wa kanisa katoliki ukienda kuungama dhambi ya uzinzi itabidi umtaje uliyezini naye. Na malipizi yake ni wewe kumuomba msamaha huyo rafikiyo, na kuvunja mahusiano na huyo mke wake. Upo tayari?
 
4*50,000 = 200,000... so for that case that means umebakiza mara mara tatu deni liishe ...

hivi lakini kungonoka watu imekuwa kawaida kabisa hata hatuheshimu ndoa zetu tena ?kazi kweli kweli
 
You are not serious or you must be kidding...!!!
 
Sheikh unaweza kutafunwa na ww..Kuwa makini..Huyo jamaa atakuwa anajua kinachoendelea..Anakulia timing tu
 
Cha kufanya msamehe na uachane naye kwa amani na upendo wa undugu uendelee pesa kitu gani?.
 
Em badili hiyo ID yako huu Ni Ujinga first class
 
Umelala naye mara nne ushauri wangu ongeza mara 3 ile iwe saba . Ukigawanya utaona kuwa umelipa 50000 kwa kila mechi ambayo ni malipo reasonably kabisa. Kulipwa sahau tena ukiendelea kumsumbua atamwambia mmewe unamtaka, we piga tu tena mkunje vizuriiii... Na mm nataman nimkopeshe mke wa mtu.

Duc in Altum
 
Back
Top Bottom