Kuhusu matumizi ya CONDOM

Msafiri007

Senior Member
Jan 26, 2016
149
81
Nimeipata sehemu kwa mtafit mmoja mdada au wadada kama watatu hiv,
Ni kuwa eti asilimia 90% ya wanaume hapa bongo huwa hawatumii CONDOM na ikitokea anatumia ujue ni maamuzi ya mwanamke.

Kwa hiyo inaamana kama mwanamke hatouliza kuhusu CONDOM eti sisi huwa tunazama tu, je inaukweli hii tuwe wakweli?
 
Jiulize wewe kwanza unatumia condom!!?
Mimi situmii niko kwenye kundi la 90%
 
Hivi kwa nini wanawake na wao wasivae lady pepeta uwanjani!!
Mimi sipendi hili swali "umevaa condom!":mad::mad:
Kama nimesahau kuvaa condom kwani wewe umevaa lady pepeta!?:rolleyes::rolleyes:
 
Back
Top Bottom