Tunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo...
Za weekend wana MMU.
Kifupi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana yey anasoma chuo Moshi.
Kama wiki moja iliyopita alirudi Dar ghafla hata bila ya kuniambia, baada ya siku tatu ndo akaniambia...
Nawasalimia sana wana JF wote. Upendo na Amani ndio furaha yetu sote. Udugu wa wanadamu wote udumu. Ikifika mahali tukaelewa itabidi tukubali kutofauriana katika mambo fulani fulani.
Leo nipo...
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya...
Assume umerudi job umechoka na mihangahiko ya town ile umekaa tu sitting room ghafla anakuja mkeo au mpenzi wako anakusogelea karibu na Sikio kwa Sauti ya chini anakuuliza "umesikia lililo mkuta...
Habari msomaji wa uzi huu.
Hii stori si yangu nimeona vyema nishare nanyi kwa kuwa JF ni jukwaa kubwa lenye watu wanaoweza kushauri.
Stori...
Habari ndg.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26...
Wadau, nawasalimu
Kuna huyu binti mzuri wa haja, baada ya ukaribu wa muda flan nikamuomba awe wangu, akakubali lakini akadai ana sharti moja, kwamba ana mchumba wake wa siku nyingi, huyu bwana ni...
Hii imetokea huko Moscow Urusi,wakati maharusi wakitoka kanisani na kuelekea kwenye tafrija.Bibi harusi aliamua kuchomoka na kuzua mabishano na bwana harusi,na baadae bibi harusi kutokomea akiwa...
Habari zenu ndugu.
Mm ni kijana wa miaka 22 bado nasoma chuo kimoja hapa nchini.
Mwaka huu mwezi wa 2 mpenzi wangu aliniambia amepata ujauzito baada kukutana nae kimwil mwaka jana mwez wa 12...
Habari zenu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30 ni mara yangu ya kwanza kuleta uzi humu kawa JF.Nahitaji ushauri wenu ili niweze kuishi kwa amani na nafsi yangu maana nateseka sana.
Tangu...
Kwa wapenzi hususani wanaoingia katika tasnia hii pasipo kufikiri kwa makini ni muhimu wajue haya.
Tamaa siyo Upendo
Kujidai unampenda mtu eti kwa sababu ni mzuri wa sura ama kwa sababu kavaa...
Wanasema hakuna aijuaye kesho na wanaume tunapigana kutafuta mali sio kwa ajili yetu bali watoto wetu wakati mwingine unatafuta kwa nguvu zote ukijua kesho hutakuwa juu ya uso wa dunia hii hivyo...
"My OUTLOOKs"
* * * * * * * *
"05/FEBR/2016"
NA MIKONO YAKE MWENYEWE.
WADADA BAADHI YENU HAMNA SHUKRANI
* Tatizo kubwa la dada zetu si kwamba ni wajinga sana ama wanashndwa kujitambua...
Igwe wadau,
Huu uzi uwaendee dada zangu wote wanaoitaji ndoa alafu waoga kufunuliwa kwanza.Kwanza wajue wanaume huoa kwa vigezo vingi vitu kama tabia na sura ni out put ila Kuna in put ambayo...
Kwanza, najituma sio tegemezi na ombaomba sababu naelewa umuhimu wakujitafutia na kuwajibika kama binadamu wanavyopaswa.
Pili, wanaheshma kwa wanaume kama walivyo na heshma kwenye taaluma zao...
Mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI namuhitaji ili tuishi maisha ya matumaini napenda awe mtu mzima kwakuwa mimi pia ni mtu mzima naomba
tuwasiliane kwa 0658 511 714...
Kautafiti yakinifu nilichofanya ni kwamba wenye pesa pia ndo wanaongozwa kwa kugongewa wake zao.
Ila sijajua nini hasa kinapelekea wanawake watoe nje ukiwa maskini utagongewa na mwenye nazo ukiwa...
Wanajamvi, salaam;
Kweli binadamu tumeumbwa tofauti, kuna vitu mimi binafsi huwa sivielewi kabisa! Kuna dereva mmoja wa daladala kaja hapa kashuka kwenye gari kisha akamkabidhi funguo deiwaka...
NO RETREAT NO SURRENDER
Mtu pekee ambaye tayari ameshashindwa ni yule ambaye ameshakufa, maana huyu hana njia yoyote anayoweza kutumia kuondoka kwenye kushindwa kwake.
Ila kwa wewe ambaye tayari...
JE MACHO YAKO YANAONA FURSA KAMA YANAVYOONA MAKOSA YA WATU WENGINE?
Kama ungeweza kuziona fursa haraka kama unavyoyaona makosa ya wengine, basi ungekuwa mbali sana.Kama ungekuwa unachukua hatua...