Kuna tukio limenitokea leo kuna mdada miaka kama 28+ nimemkuta kwenye mgahawa anakunywa chai alivyoonekana ni kama alikuwa na kitu kinamchanganya pamoja na hasira alipomaliza kunywa chai akatoka...
Habarini za asubuhi... Nina mdogo wangu was kiume Ana mwanamke wake walianzana tangu A level Mpaka was wako chuo mwaka wa pili...Sasa jizi katoa taarifa ya kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi was...
Kwanza hongera kwa kuitwa mama maana kuzaa sio kitu rahisi. Ndio umezaa nje ya ndoa ila Mungu wako unaemwamini ni wa rehema na anasamehe.Najua watu wanakuona malaya, hufai,mkosaji ila tambua tu...
UKIFANYA MEMA NA MUNGU ATAKULIPA MEMA
Mtoto alimuweka mama yake kwenye kituo cha kulelea wazee, na alikuwa akimtembelea kila baada ya muda.Siku moja akapigiwa simu kutoka kituoni kwamba mama yake...
HUUMIZWI BALI WEWE MWENYEWE UNACHAGUA KUUMIZWA
Tunapokuwa na mipango na watu wengine, na watu hawa wakawa na eneo lao ambalo wanatakiwa walitekeleze ili na sisi tuweze kutekeleza eneo letu...
UNATAKIWA KUKOMAA NA MPANGO WAKO
Ingekuwa kuweka tu mipango ndio kufanikiwa, basi kila mtu angekuwa na mafanikio makubwa sana.
Kila mtu anaweka mipango mizuri sana, yaani sana.Lakini mipango hii...
I salute you JF members,
Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna...
Leo J’tatu nikaamka mornie sana, nikaenda ground kupasha tizi kidogo ili kuweka mwili fit. Then nikarudi geto mishale ya saa 1 asubuhi. Nikawa nimechill pale nje ya geto nasubiri mwili upoe ili...
Imekuwa fashion sasa wasichana kupiga mizinga wanailia kama suzuki ukimtongoza tuu umeisha hawakawii kuvua pichu.
Zamani ilikuwa ukimtongoza msichana mpaka umlale ilikua shughuli alafu wananiuzi...
Jamani wana JamiiiForums,
Niliweka post hapa mke wangu alivyoondoka na akaenda kuishi kwake yaani chumba cha kupanga.
Ila ninakaa namfikiria kila mara hasa kwa mabaya aliyonifanyia, hii hali...
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema...
Mapacha wa kipekee wamezaliwa nchini Vietnam.
najua unajiuliza mapacha si kawaida tu ?
La hasha .
Mapacha hawa imegunduliwa kuwa walitungwa na baba wawili tofauti !
Amini usiamini !
Taarifa...
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri...
Habari za jioni wakuu wote wa JF. Naomba msaada wenu wa kimawazo kuhusu hii situation.
Last year nikiwa chuo nilipigiwa simu na a close friend of mine akasemakua amekutana na ex wangu na alikua...
Nimeamua kujitosa kutafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo:_
a. elimu angalau kidato cha sita
b.awe anatoka nchi za A/ mashariki
c. awe anaishi USA au UK
d. hanakazi au anakazi - sintojali
e. awe...
Asalam alekhum wanaJF!
Ni hivi, miezi misita hivi iliyopita demu wa best yangu kabisa alinipigia simu kuwa mchizi haeleweki kabisa. Nikaona isiwe kesi nikampigia mchizi kaniambia yuko na mtu...
Tukiwa tunasheherekea siku ya wanawake duniani tusiigeuze ikawa siku ya starehe kama ilivyo sikukuu zingine bali tupaze sauti zetu zisikike kila sehemu kuna wanawake wananyanyasika ndani ya ndoa...
Wadau nawasalimu,
Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta...
Niaje Wakuu Nimerudi tena baada ya jana kuleta UZI wangu wa Naombeni ushauri juu ya huyu binti nahisi kumchukia ghafla
Basi leo tulikubaliana tukapime mwanaume nikajitosa niakaenda kupima niko...