Nashindwa kuwaelewa hawa wadada

Nashindwa kuwaelewa hawa wadada

Panzermeyer

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
471
Reaction score
325
Habari za jioni wakuu wote wa JF. Naomba msaada wenu wa kimawazo kuhusu hii situation.

Last year nikiwa chuo nilipigiwa simu na a close friend of mine akasemakua amekutana na ex wangu na alikua ananisalim na akaomba no zangu toka kwa rafk angu. Mm nkashukuru sana kisha nkasema mpe tu hakuna tatizo. Basi nikiwa DSM tukawa tukaanza mawasiliano mpaka narudi home Dodoma tukawa tumeshajenga mazoea ya kuwasiliana Mara kwa mara. Sasa yule ex akasema tuonane, basi nikakubali tukameet. Basi ikawa kama tabia kila baada ya mda tukawa tunaonana, mara kwa mara. Ikaendelea ivyo kwa mda mpaka akaanza nizoea kupita kiasi na kuniambia kua anajuta kwann alinipotezea, anajilaumu kwann alivyoambiwa na rafiki zangu kua nampenda sana hakuzingatia na akawa anaomba nimpe nafasi. Nikamjibu haiwezekani mda wetu umeshapita. Sasa akawa anapenda kua karibu na mimi, kuwasiliana nami mpaka nisioompigia au kum txt analalamika. Ukaribu ukazidi mpaka tukafikia kwingineko kabisa...... Sasa siku ambayo nilimpeleka ghetto cha ajabu kabisa sikuweza kupiga kabisaa. Ghafla hamu yoote ya game ikawa imepotea, basi tukaishia tu kupiga story. Ikaendelea mpaka baadae nikafanikiwa kuweka umbali nae kwa kupunguza mawasiliano na baada ya hapo sikufanya tena harakati za kupiga. Sasa kipindi chote iki nilikua napata salamu toka kwa rafiki ake wa karibu aliekua anasoma pale UDOM.
Sasa siku moja akasema kua amempatia no yangu rafiki ake ila anaogopa kunitafuta, nkasema haina tatizo, basi siku moja yule rafik ake akanitafuta akajitanbulisha tukaanza mawasiliano. Sasa baada ya mda kama wa wiki mbili yule rafk wa ex akaanza tabia za ajabu, akawa ananipigia simu saa tano, mara nne mpaka sita za usiku. Basi ikawa akipiga usiku sipokei. Tukaaendaa mpaka siku moja nikaja kusikia kitu cha ajabu kabisa kutoka kwa ex wangu. Nilimpigia tukaongea, katika mazungumzo akasema kua," aah naona sms zenu wewe na ( rafk ake ) jina nalihifadhi mnachati kiingereza tu hongera, nichek cm yake alivyoenda washroom. Nilishtuka sana na nikashindwa kuelewa kilichokua kinaendelea. Kwamba je, wanaonyeshana sms zangu ambazo nna wasiliana nae au ni kweli kua alichukua cm ya rafiki ake bira lidhaa yake?

NB
Mda mwingi sana rafiki wa ex wangu ndo amekua akianzisha chats/convos, mm nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumkatisha tamaa kwa kukaa kimya lakini yeye bado anaendelea kunitafuta.

MSAADA
1. Je uyu rafk wa ex wangu anashirikiana na ex wangu ( are they in cahoots ) au anafanya yeye mwenyewe ( or is she acting solo/alone )
2. What does she want from me?
 
Sababu ipo tu kaka angu kama una girlfriend kwa sasa ivi na ulimzingua ex wako lazma watafute sababu ya kutaka kukuharibia na huko uliko sasa just be careful.ni mtazamo wangu tu
 
Hao inabidi uwachane tu hakuna namna.
Nilimwambia huyu mdada kwa lugha ya mafumbo kua, ivi kama unawasiliana na mtu alfu ukagundua kua kuna mtu mwingine tena wa karibu yake anaona sms zenu, utajoskiaje? Akasema inategemea na sms zenyewe kama ni za kawaida na kirafiki nitaona kawaida. Nikamuuliza unadhan muhusika ambaye ndo kama victim wa situation atajiskia vzur? Akawa anaona kawaida tu
 
Sababu ipo tu kaka angu kama una girlfriend kwa sasa ivi na ulimzingua ex wako lazma watafute sababu ya kutaka kukuharibia na huko uliko sasa just be careful.ni mtazamo wangu tu
Sawa mdada, nashukuru kwa ushauri wako
 
Hivi selection za form five bado tu kutoka? Hawa watoto waende shule!
 
Hivi selection za form five bado tu kutoka? Hawa watoto waende shule!
Heshima kitu cha bure. Sidhani kama tungekua uso kwa uso ungeweza sema ivyo ( huo upuuzi wako ). Sio kwasabbu unatumia fictional username na hatujuani basi unaropoka tu. Mind you, watch your tongue
 
Back
Top Bottom