Tukiwa tunasheherekea siku ya wanawake duniani tusiigeuze ikawa siku ya starehe kama ilivyo sikukuu zingine bali tupaze sauti zetu zisikike kila sehemu kuna wanawake wananyanyasika ndani ya ndoa...
Wadau nawasalimu,
Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta...
Niaje Wakuu Nimerudi tena baada ya jana kuleta UZI wangu wa Naombeni ushauri juu ya huyu binti nahisi kumchukia ghafla
Basi leo tulikubaliana tukapime mwanaume nikajitosa niakaenda kupima niko...
Fundi cherehani kaoa ana familia,muosha magari kaoa,muuza mkaa,mbeba taka hapa kitaa kwetu ana familia,muimba kwaya anaevaaga mabwanga kamuoa demu niliyemuacha lakini demu kapendeza sasa hivi...
Nakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na ardhi, poleni na majukumu,
Wapendwa nimeshakutana na hii kitu mara kadhaa kwa watu tofauti tofauti, kwamba wanna mahusiano na wachungaji au...
Mke wangu toka siku tujue kuwa mimba imenasa dah papuchi naisikia ktk redio tu nikavumilia nikajua mimba changa na kwel ilikuwa inamkimbiza kutapika kila siku..nw ina mwezi 7 inakwenda wa 8 ile...
Toka nimeanza mwaka huu mpya Wa mwaka 2016 nimeshatembea au kulala na wanawake 18 mpaka kufikia Leo wakiwemo wanafunzi Wa vyuo, wadada Wa mtaani,wake za watu,hadi najishangaa kuwa mpaka mwaka huu...
Nilikuwa Naye sehemu Fulani nikanunua mazaga ya home,mwanamke kakataa kubeba na Leo mvua imesababisha usumbufu nipo kwenye gari hapa na mizigo yangu sijui yeye alikoelekea
Ni kauli ya mdada mmoja tunafanya nae kazi hapa ofisini ni mara ya tatu sasa namsikia akisema hivo akiwa na maana kwamba angezaliwa mwanaume hawa wanawake wangemkoma angegegeda yoyote yule...
Wadau Sina lengo la kuwachosha bali nimeshtuka sana baada ya mama kunipigia simu jumapili na kufoka mno kwamba marafiki wote wa rika langu wameshaoa na wana watoto mm bado nahangaika
Kwamba...
Aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa JF kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana!
Kama heading inavyojieleza hapo juu.
Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:-
1. Awe...
Hello wapendwa,
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Nimejitokeza humu kwa mara ya kwanza kabisa. Kifupi natafuta mwanamke ambaye badaye atakuja kuwa mke wangu seriously. Mimi na mwajiriwa na...
Heri njema kwa mamangu mzazi, mke wangu, dada zangu, binti yangu na wanawake wote kwa jumla.
Nawatakia women's day yenye fanaka.
Kwangu mie kila siku ni siku yenu.
1. Usingizi mzuri.
Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono.
2. Self-esteem booster.
Watu wengi hawajiamini...
Habari wanajamvi,
Ninajitokeza kwenu kutafuta rafiki wa kike ambaye kwa baadae aje awe my wife to be.Niko Lindi umri miaka 26.
Kabila ni Sukuma asiwe mwanachuo na ikiwezekana atokee au awe wa...
Kichwa kiliwaka moto, kikachemka hasa. Vipele vya baridi vikamtoka huku kijasho chembamba kikimtiririka usoni, akatetemeka mwili na nafsi, mkono mmoja kiunoni mwingine mdomoni, ameduwaa! Alikuwa...
Mapenzi uwanja mpana,
Ya sasa tofauti na ya jana,
Wakati ule mimi kijana,
Vijana wakipendana,
Huishia kuoana.[/SIZE]
[SIZE="3"]Pesa haikuwa kitu cha maana,
Starehe na mapenzi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.