Natafuta mwanamke uk /usa

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
Nimeamua kujitosa kutafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo:_

a. elimu angalau kidato cha sita
b.awe anatoka nchi za A/ mashariki
c. awe anaishi USA au UK
d. hanakazi au anakazi - sintojali
e. awe anaweza kuongea Kiswahili japo kidogo

Mimi nafanya biashara nasafiri kati ya USA/UK/DUBAI. Elimu yangu ni zaidi ya Bachelor degree. sichagui dini, kabila wala rangi.

aliyeko serious ani PM.
 
Macho unayo au ni kipofu? Unapokuwa huko UK na USA wanawake huwaoni? Au msamiati ni haba mpaka utumie JF?

Macho ninayo lakini kwakweli huwezi kufahamu kama huyu anatoka wapi na je, yuko huru kwa maana hajaolewa au la. Unajua huwezi kumparamia mtu hadi muwe mmeongea. Huku kila mmoja yuko buze ni ngumu kupata mwanamke huku.
 
Mboni mi wanipita kila ukija, au unataka wa njano?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom