Natafuta rafiki(Kondakta/Dereva)

Natafuta rafiki(Kondakta/Dereva)

Vlada8

Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote atakayekua tayari,tuwasiliane kwa 0625 518 349 au anitumie pm.

Shukrani.
 
Kwa nini dereva au kondakta na si mlinzi au fundi mwashi?
 
Duh! Dili la kusafiri daladala bure nini? Kariakoo to bunju... Story mwanzo mwisho!
 
Umenifanya nianze kuwaza ghafla[emoji15]
 
....nadhani ni MTU anayehitaji kuifahamu shughuli hiyo kwa kina possibly anachombo hicho na amekivundika ndani.
 
Kasomee Ualimu utapanda daladala bureeee
 
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote atakayekua tayari,tuwasiliane kwa 0625 518 349 au anitumie pm.

Shukrani.
Una uhakika na JINSIA yako kijana!!????
 
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote atakayekua tayari,tuwasiliane kwa 0625 518 349 au anitumie pm.

Shukrani.
Wataka kusafiri bure rahisi sana kuwajuwa.... ahahahahahaaaa .... kupaniki ruksaaa...
 
itabid
uzoee
kupanda gar la aina moja waksha kuzoea
watakuwa
mabest
zakow
 
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote atakayekua tayari,tuwasiliane kwa 0625 518 349 au anitumie pm.

Shukrani.
Mimi dereva wa daladala mkuu ila nilianzia ukonda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom