guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,310
Asalam alekhum wanaJF!
Ni hivi, miezi misita hivi iliyopita demu wa best yangu kabisa alinipigia simu kuwa mchizi haeleweki kabisa. Nikaona isiwe kesi nikampigia mchizi kaniambia yuko na mtu mwingine huyo alishampotezea, sasa binti wa watu alikuwa anategemea msaada wangu wa hali na mali kumnasua na hili zahama la kuachwa. kutokana na usumbufu wake sometimes nilikuwa nafunga simu. Demu anamtaka mchizi, mchizi hamtaki. siku moja weekend akaomba nikutane nae tulijadili kwa undani nikampa muda.
Mzee nikajipanga nikamtoa out mtoto mzuri pale samakisamaki mcity huku akinieleza yaliyomsibu, nikaamua kutumbua jipu nikamwambia kiufupi jamaa ameshafall inlove na bibie mwingine so nimejaribu kuongea nae hata hajanisikiliza.aisee alilia sana mbele ya watu mpaka nikajisikia sooo.. nikamkamata nikamtuliza mtoto huku nimemhold kifuani hata hajielewi.
Tuliondoka tukaenda kupiga vyombo dogo apoteze mawazo, nilimuonea huruma sana aisee. nilijitahidi sana kumfariji. baada ya kupata moja ya baridi mbili za moto tukachukua bajaji nimpeleke anakokaa hiyo ilikuwa inasoma saa sita hivi. nilipotaka kuondoka kurudi kwangu nikamuaga akasema G usiniache niko katika wakati mgumu sana, nikamhakikishia nitakuwa nae kwenye kipindi chote cha mapito. Akanyanyuka akanikumbatia ili kuniaga, heee nikashtukia mtoto kaning'ang'ania nilipojitahidi kujinasua nimuache aliomba nisiondoke. tukiwa bado tumekumbatiana mnara wangu ukaanza kusoma network, joto likaanza kupanda mapigo ya moyo ndo usiseme. nikamwambia this is not fair N let me go, hata hakunielewa, mdogo mdogo tukapeana mgegedo (im sorry for this). kushituka saa11 akaniambia usiondoke G just be calm, tukalala saa 2 asubuhi (saturday) tukapeane tena mgegedo aisee nilijuta, jamaa inakuaje anaacha hii mambo??? mtoto asubuhi mlaini kinoma, kasave chai pale tukanywa tukaondoka kwenda kwangu, saa nane tukapiga mwingine (hii zaidi za dhambi).
from there tukawa wapenzi japo bila jamaa kujua, nikaanzisha biashara flani na huyu demu tumefanikiwa kununua kiwanja mitaa flani amazing.. na nimeshamtambulisha kwa baadhi ya ndugu.
kwere inakuja ambapo jamaa ake yule (rafiki yangu) kaachwa solemba baada ya kupigiwa demu na wajanja sasa ameamua kumrudia huyo mtoto.. demu kagoma kabisa na kaapa hata niacha mbele ya jamaa. Jamaa kaniomba sana nimuachie demu wake, nikasema sawa ila demu ndo hataki kusikia hayo mambo kuonyesha msisitizo aliamua kuhamia kwangu two weeks now. jamaa kila akienda geto kwa demu hamkuti sasa, jana kaja kwenye apartment ninapokaa hamadi kamuona bibie anaandaa chakula cha jioni mzee mzima nikiwa nacheki kitu ya American gagster. Jamaa alinitazama tu hakusema lolote bibie kaja kakaa pembeni yangu tukiwa tunamcheki my best friend akaamua kuondoka, sasa ananilaumu kinoma eti anamtaka demu wake. Nataka niongee na bibie amkubalie arudiane nae na sijui kama atanielewa.
wazee wabusara naombeni mwazo yenu.