navin dippe
Member
- May 18, 2015
- 47
- 104
Wadau nawasalimu,
Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta narudia nguo za Jana ama Juzi.
Kutokana na tatizo hilo nilipopata pesa nikaenda nikanunua nguo nyingi mara moja ikiwemo mashati, suruali, viatu na kadhalika na perfumes wadau tangu siku hiyo nilipoingia na nguo hizo hadi leo sijapata haki yangu ya msingi kwamba eti nguo hizo nimepewa zawadi na mwanamke wa nje, maana ilikua ni siku moja kabla ya valentine.
Nikamwelewesha kuwa nimenunua nguo kwa kuwa hali yangu ya mavazi ilifikia pabaya, bado akawa mkali akabadilisha kiswahili sasa badala ya kudai nimepewa zawadi na mwanamke wa nje akadai eti nitanunuaje nguo wakati ndani kuna vitu kibao vinahitaji pesa, nikahoji kwa hiyo mimi nitembee kama chokoraa na nguo zilizochoka kisa kuna mahitaji ndani?
Nivae masempele kisa chake nini?
Wakati huo huo yeye kila siku anakuja na nguo mpya wakati mwingine hadi anakopa nguo na kulipa end month mbona mimi sisemi? Au mimi sina haki ya kupiga pamba?
Halafu inakuaje kwa huu mgogoro mdogo hivi sasa analala amevaa nguo nyingi kwa maksudi au nimbake?
Maana mahitaji yote ya ndani natoa ingawa mapungufu hayakosekani kama zilivyo familia zetu za kitanzania.Sasa sijui mnasemaje kwa hili?