Natafuta mchumba Muislamu

conqurer

Member
Oct 31, 2015
8
1
Awe binti wa kiislam na asizidi umri wa miaka 27, aliyetayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ya chuo kikuu, nafanya Kazi serikalini
 
Haya fursa hiyo, halaf baadae tuje tusikie msichana wa kiislam atafuta mchumba, ikiwa huyu kaka alietaka mchumba wa kiislam bado hajapata , hatutaeleweka, Tunakuombea upate mchumba mwenye kheri na wewe mfike malengo ya ndoa na mdumu humo.
 
kwani wew humfai?au ushadakwa
 
mkuu nakushauri Pm FaizaFoxy yuko na marafiki wengi wa kampuni.

swissme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom