Jirani amemfuma mke wake na dereva kitandani.

chifusongea

Senior Member
Jan 8, 2016
164
154
Yaani usiku hatujalala na hadi asubuhi hii ni Fujo na makelele.Jirani ambaye ni bosi wa T.R.A amemfuma live mkewe akigegedwa tena kitandani kwao na dereva wake.
 
Najua wote wanaume kwa wanawake huchepuka, LAKINI kitu moja cha ADABU kwa wanaume ni kuwa, "HAWACHEPUKII KWENYE VITANDA VYAO VYA NDOA." Wanawake wana matatizo sana, akili zao zina matatizo kiasi cha kuchepukia kwenye kitanda cha ndoa.
 
Yaani usiku hatujalala na hadi asubuhi hii ni Fuji na makelele.Jirani ambaye ni bosi wa Tra amemfuma live mkewe akigegedwa tena kitandani kwao na dereva wake.
Mngoni uminifurahishi kwelkwel.. kwani zili fuji ziliishi sa ngapii?? Au zilindelee mpak keshu yaki lukela..?? Na ulipukosa kulala usiku uli ilikuwaji mchani waki..?? Hukulali kwel kwenyi majukumi yaku..??
 
Najua wote wanaume kwa wanawake huchepuka, LAKINI kitu moja cha ADABU kwa wanaume ni kuwa, "HAWACHEPUKII KWENYE VITANDA VYAO VYA NDOA." Wanawake wana matatizo sana, akili zao zina matatizo kiasi cha kuchepukia kwenye kitanda cha ndoa.
Haijalishi unachepukaje au unachepukia wapi, trick ya kuchepuka ni moja tu dunia nzima, HAKIKISHA HAUKAMATWI NA MWENZA WAKO.
 
Mhhhh kaharibiwa siku na mood ya kuishi hadi kifo
Hii ni kweli kovu huwa halifutiki hata iweje, ingawa hiyo nayo ina raha zake maana ni kiboko ya kumchapia maana akijifanya mjuaji unamweleza kuwa umeanza au yule dreva mmeanza ehee. Hapo lazima aufyate mkia
 
Mngoni uminifurahishi kwelkwel.. kwani zili fuji ziliishi sa ngapii?? Au zilindelee mpak keshu yaki lukela..?? Na ulipukosa kulala usiku uli ilikuwaji mchani waki..?? Hukulali kwel kwenyi majukumi yaku..??
hahahahhaa dah!! yan nmeiweka kwnye saut nmecheka kinomaaa,,km bambo yani
 
Mngoni uminifurahishi kwelkwel.. kwani zili fuji ziliishi sa ngapii?? Au zilindelee mpak keshu yaki lukela..?? Na ulipukosa kulala usiku uli ilikuwaji mchani waki..?? Hukulali kwel kwenyi majukumi yaku..??

Mkuu umenivunja mbavu na huyu Mngoni:) Yaani Fuji tupuuu;-)
 
Back
Top Bottom