BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,001
Habarini za muda wana jukwaa pendwa la MMU,
Binafsi nimekuwa najiuliza,hivi kuna siri gani katika mahusiano mapya? Maana huonekana kuwa na nguvu kubwa isiyo ya kawaida.Hakika kunakuwa ni kipindi chenye furaha kubwa sana.
Ni kipindi ambacho mnajaliana,mnaheshimiana na kuthaminiana kwa viwango vya juu kabisa.Mwisho wa siku huo upendo na hayo manjonjo hugeuka na kuwa viceversa yaani mapenzi hufifia na hatimaye kuisha kabisa.
Tena huisha kwa mbwembwe vile vile,watu hutukanana,kudharauliana na mengine mengi.Nawapongeza sana wale wote wanaokubali kuvunja mahusiano kwa njia ya amani,ingawa ni wachache sana.
Nimeileta hii mada baada ya kuwa na experience katika uhusiano wangu ambao kiukweli nakiri,tuliuanza kwa mbwembwe nyingi sana na kiukweli tulikuwa na furaha sana katika uhusiano wetu na tulikuwa tukipendana sana yaani hata wana na washkaji walikuwa hawaniambii lolote kwa yule binti.
Lakini mwishoni mwa mwaka jana uhusiano wetu ulivunjika kwa vijembe,masimango,matusi pamoja na mengine mengi (sitokaa nisahau) nililia siku mbili mfululizo,lakini saivi niko poa sana, najillaumu kwanini nililia.
MMU mlinisaidia saana kwa ushauri wenu,maana yote yaliyonitokea niliyaleta hapa jukuani.Nilikuja kuamini kuwa endapo umeona umetendwa,kumbuka kuna jamaa kapendwa, na endapo ukiona umependwa kumbuka kuna mchizi katendwa.
Swali langu.Hivi kwanini mahusiano yanaanza kwa mbwembe,vimbwenga na vionjo vya ajabu,lakini pia huisha kwa staili ile ile lakini in a negative way.