bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Jamani nimeuzika mno na sasa nahitaji kuwa single, ila ninachotaka ni sihitaji kuwa na hisia za mapenzi tena katika maisha yangu, mwanaume aliniuzi mambo mengi, sasa nimeshindwa kumsamehe ninachotaka nimuache tu na mimi nikaishi mwenyewe, tuna mtoto mmoja na yeye.