eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Aliingia gerezani akiwa na miaka 14 kwa kusingiziwa kesi ya mauaji
Mwanaume huyo chrstian sospeter
Ambae ana siku 58 toka aachiwe kwa msamaha wa rais anasema hajawahi kufanya ngono tangu azaliwe japo kimaumbile yuko vizuri na kwa sasa anatafuta kazi ya kufanya kabla ya kutafuta mchumba
Anasema siku alioyoachiwa gerezani ukonga dar es salam alipata jaribu la shetani ambalo alilishinda baada ya kumuomba mungu na hiyo ilitokea pale alipowaona wanawake waliovaa suruali za kubana jambo lililompelekea kufunika macho yake jamaa anasema alimjua mungu akiwa gerezani baada ya kukutana mchungaji
Christian anasema kutofanya kwake ngono hakujamuathiri uwezo wake kiume na kwa sasa anafikiria namna atakavyoanza shuhuli zake za uvuvi ziwa victoria