MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Kumuoa mwanamke anayekupenda na kukujali au kumuoa mwanamke unayempenda katika maisha.
penda ulipo penda mkuuKumuoa mwanamke anayekupenda na kukujari au kumuoa mwanamke unayempenda ktk maisha!!
KIAJE MKUUOle wako uoe asiekupenda bali unampenda ww tu, lazma ufe kwa kisukari!!
hakikakumuoa anayekupenda ndo bora
HahahaaaOle wako uoe asiekupenda bali unampenda ww tu, lazma ufe kwa kisukari!!
Haha...na bahati yako uliyemkuta hiki choo cha kiume keshafunga zipAnaekupenda
Oops kumbe ni kwa wanaume
Ha haa ngoja niondoke kabla hamjanibakaHaha...na bahati yako uliyemkuta hiki choo cha kiume keshafunga zip
We nenda tuu, nani akubake wewe?Ha haa ngoja niondoke kabla hamjanibaka