Only 2 people, not the whole world

Kibongo bongo aisee ngumu...Una-mpromise ama mmepanga kitu na demu wako yaani kabla hujamaliza kumweleza yeye anaona unamchelewesha maana tayari keshapata hamu ya kumwambia shost ake kitu ulichomwambia...Hapo relatn si watu 2 tena ni ya dunia hiyo...Na kwa wanaume wa kibongo usemi huu ukifuatiliwa atamuua hata partner wake kwa kipigo kisa tu relatn ni ya 2....Sometyms inatubid tuingile relatn pale tunapoona uhai wa mmoja upo matatani..
 
Kila kitu chini ya jua bila kujali uzuri na ubaya wake kinatoka kwa Mungu
No bhana, izo defence mechanism...u can't make mistakes then useme mungu ndo amepanga....or uwez kua cheated ukasema mungu ampanga...hell No
[HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] jr izo iman kua kila kitu kinatoka kwamungu ujanshawishi especially kuhusiana na hii thread
 
Miss Jf 2016 binadamu kanyimwa au hana kitu kimoja muhimu sana. ...kujua
The next moment! Nini kitatokea
 
Miss Jf 2016 binadamu kanyimwa au hana kitu kimoja muhimu sana. ...kujua
The next moment! Nini kitatokea
mshana jr Yah nakubaliana na wewe to some points but in this case...kama unadate na mtu zaid ya mmoja lazima ujue kitajachotokea ni kuumbuka. Kama sio fumanizi
Uongo siku zote ujitenga..na mwisho wa ubaya ni aibu hyo ipo wazi haiitaji utashi kwa mtu hajui kitakachotokea ..
 
Nina hakika wengi tungefunuliwa yajayo tungejiepusha na kujikinga kwa kila namna
Kama mtu alijua kuwa basi alilopanda litapita ajali nina hakika hawezi kukubali kulipanda
 
Back
Top Bottom