Wanawake wanaongoza kwa ubinafsi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,897
19,080
Wanawake ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu,wake zetu na wapenzi wetu lakini ni watu wabinafsi sana.

Utakuta mwanamke anakuuliza kweli unanipenda, unajibu ndio nakupenda, anauliza ntaaminije kama unanipenda, anataka umthibitishie zaidi ya unachokisema.

Wakati huo huo wewe mwanaume ukimuuliza mwanamke je unanipenda atasema ndio nakupenda ndio maana nimekupa, ningekua sikupendi nisingekupa.

Niwaulize, je kumpa mtu kibox manyoya ndio ushahidi kwamba unampenda? Wale ndugu zetu wa kinondoni makaburini huwa wanatupa je wanatupenda?

Wanawake wanataka wanachokisema wao kiaminiwe kisa tu katoa mbunye, wanataka wanachokisema kiaminiwe kama kilivyo huku wao wakitaka ushahidi upande wa pili.

Wanawake acheni ubinafsi.
 
Mungu unamakusudi yako kuumba watu wa jinsia mbili tofauti...Mapenzi yako yatimizwe. Amen
 
ndiyo wanawake walivyo utafanyaje zaidi ya kuwa bwana ndiyo ili wafurahi
wameubwa ili watuliwaze wawe wasaidizi wetu hvyo ni jukumu letu kuwafanya wafurahi mioyoni mwao
 
Unajua kuna tofauti ya wafanya biashara rejareja Na wajumla....!!!
 
"..Anaweza sema anakupenda ana sababu zake, lakn yupo anayempenda bila sababu just kampenda tu"
 
Back
Top Bottom