Ushauri: Jini linataka limuoe

gentlemanx

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
2,375
7,216
Guys habari zenu,

Kuna binti mmoja ambaye anasoma kidato cha nne,anateseka sana baada ya kuingiwa na jini ambalo lina taka limuoe na amehangaika sana makanisani ila imeshindikana,nimeona nililete kwenye jamvi,yeyote mzoefu au anaelewa haya mambo.

Msaada tumsaidie huyu binti

Asante
 
Nikuelekeze katika makanisa yanayomwabudu Mungu katika roho na kweli. ATAOMBEWA BURE. MPELEKE MWENGE KANISA LA EFATHA. ONGEA NA MUHUDUMU YOYOTE PALE. KAMA UPO MIKOANI TAFUTA MAKANISA HAYO. YAPO mengi ila niyajuayo ni hayo. msiangaike kwa waganga mtapoteza hela bure msifanikiwe
 
Msihangaike makanisani mtatapekiwa bure
 
Mpelekeni makanisa ya kilokole ataombewa mpaka jini litoke lenyewe na halitarudi tena
 
Guys habari zenu,

Kuna binti mmoja ambaye anasoma kidato cha nne,anateseka sana baada ya kuingiwa na jini ambalo lina taka limuoe na amehangaika sana makanisani ila imeshindikana,nimeona nililete kwenye jamvi,yeyote mzoefu au anaelewa haya mambo.

Msaada tumsaidie huyu binti

Asante
Aende kwa lusekelo mzee wa upako aombewe
 
Ani PM wala sina haja ya kumwona sura yake ila atakapofunguka, sharti ni moja tu, aje humujf kutoa ushuhuda jinsi nilivyo msaidia akapona. Wapo wengi sana mkuu wenye shida hii
 
Solution ni rahisi mno, jini huwa halipendi kushare, atafute mchumba litakimbia lenyewe!!
 
Nikuelekeze katika makanisa yanayomwabudu Mungu katika roho na kweli. ATAOMBEWA BURE. MPELEKE MWENGE KANISA LA EFATHA. ONGEA NA MUHUDUMU YOYOTE PALE. KAMA UPO MIKOANI TAFUTA MAKANISA HAYO. YAPO mengi ila niyajuayo ni hayo. msiangaike kwa waganga mtapoteza hela bure msifanikiwe

Hapa siwezi kupita bila kusema neno. Nimempeleka ndugu yangu moja ya makanisa ya EFATHA alikuwa na athma kali sana. Ilikuwa ni mwaka jana mwanzoni hajaugua tena!! kweli Mungu yupo na anatusikiliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom