SERIKALI 3
Member
- Apr 27, 2014
- 82
- 18
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!
Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.
Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>
Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?