Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 348
Nimejaribu kufanya uchunguzi wa kutosha asilimia kubwa ya wanaume waliopo kwenye ndoa wananyanyasika kimapenzi toka kwa wake zao na kujikuta wanarudia kupiga punyeto.
Sababu mkubwa ikiwa ni kunyimwa tendo na wake zao, Mara nyingi wanawake wanakuwa wanatoa sababu mbali mbali zingine zenye mashiko na zingine zisizokuwa na mashiko ili mradi kaamua.
Na hapo kwa mwanaume anaona amefanyiwa ukatili mkubwa inaeleweka mwanaume anaweza akatoka kazini kaona mipaja ya haja na mitego mingi anajua akifika home ndio atakapomalizia shida zake.
Akinyimwa wengi wao huenda kupiga punyeto wasioogopa magonjwa hapo ndio michepuko huanzishwa.
Jamani wanawake sometimes muwe mnatuonea huruma.