Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Mara nyingi utakuta mwanaume kujiingiza kwenye mahusiano na mwanamke aliyeachwa na mume wake. Hii tabia si nzuri na ni hatari sana. Kwanza kabla hujafanya hivo, chunguza sababu ya wao kuachana ni nini.
Maana endapo chanzo ni mwanamke nawe itakula kwako. Pia mwanaume akijua una mahusiano na mke wake anaweza kujua kuwa wewe ndo ulikuwa chanzo cha ndoa yake kuvunjika.
Lakini hatari kubwa mwanamke yeyote aliyeachika huwa na chembe ya sumu ndani ya penzi lake Kwa sababu kuu tatu;
I.Hataona taabu kukusaliti wewe
II.Hufanya maamuzi ya hovyo kwenye mahusiano.
III.Muda wowote anaweza kurudiana na mume wake na hata wasiporudiana wakikutna lazima wafanye mapenzi tu kwa kuwa kila mmoja anajua mwili wa mwenzake.
Kwa maana hiyo kuwa makini kuingia kwenye mahusiano na mwanamke aliyeachika.