Nimo the legend
Member
- May 12, 2014
- 79
- 9
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.
Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.
Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.
Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata