Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 277
1. Usingizi mzuri.
Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono.
2. Self-esteem booster.
Watu wengi hawajiamini sababu hawapendi jinsi walivyoumbwa.
Kulala uchi kutakufanya uuamini na uukubali mwili wako.
Itasadia pia kuupenda mwili wako.
3. Utazidi kuwa mchanga.
Kulala uchi kunafanya kuwa na joto la mwili linalostahili ambalo growth hormones na anti-aging hormones zitafanya kazi vyema.
4. Fungal infections
Wanawake wako prone to fungal infections zinazosababishwa na joto na unyevunyevu kwenye sehemu zao za siri.
5. Increases virility.
Joto ndio adui mkubwa wa utengenezaji wa mbegu za kiume.Na ndio sababu testes imeumbwa nje ya mwili.
Kulala uchi kunafanya testes kupata ideal temperature ya utengenezaji na uhifadhi wa sperms.
6. Happier relationship
Kuwa na skin-to-skin contact kunafanya kureleasiwa kwa homoni ya oxytocin hivyo kuwa na uhusiano wenye furaha na more sex.
7. Keeps you active.
8. Saves money.