Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,042
- 23,487
Ukitaka kupata maana halisi ya ule usemi usemao "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" basi jaribu kuchunguza wale wadada wote wazuri na Waliokua wanajifanya matawi au mastaa sana kitaa na skuli wanaume waliokuja kuwaoa, kiasi kwamba hata ukikutana nae anaona aibu kukutambulisha.
Pia njoo kwa kina kina kaka vilevile ndo utabaki mdomo wazi maana hawa ndo huwa na mikosi ya kupata mibinti yenye mabavu kiasi kwamba kaka asemi kitu yaani anapelekwa tu kama boya, alafu ukimuuliza vipi ndugu yangu na ujanja wako wote ule leo umeangua style hii ya maisha?
Utasikia si unajua wazazi tena wakitaka jambo,hahahahaha # sasa basi muheshimu sana huyu mpenzi ulienae ambaye hata kofi unampiga ili Mungu akipenda aje kua mkeo wa ndoa na wewe uepukane na usemi huu "ndege mjanja Hunasa kwenye tundu Bovu"