Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana!
Kama heading inavyojieleza hapo juu.
Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:-
1. Awe anampenda Yesu (Namaanisha awe ameokoka au awe mcha Mungu). Anaweza akawa mlokole au mkristo wa Roman au Lutheran etc lakini awe mcha Mungu na mwenye imani ya kweli.
2. Umri uwe kuanzia miaka 25 hadi 35 tu.
3. Elimu - awe kuanzia degree 1 na kuendelea (asiwe mwanachuo labda awe mwanachuo wa level ya Post graduate).
4. Awe mwenye shughuli inayomwingizia kipato halali.
5. Awe na utayari wa kuwa mke mwema na kujenga familia.
6. Akiwa muislam na ni mcha Mungu na ana uhitaji thabiti tunaweza tukazungumza na kuona kama tunaweza tukaendana...maana dini ni tofauti lakini Mungu wa binadamu ni MMOJA tu.
NB: I am 30's years old, Graduate, employee, and christian. Further questions can be addressed to christian.haule@yahoo.co.uk, or through PM.
KARIBUNI.