Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,493
- 5,009
Habari wanajamvi,
Ninajitokeza kwenu kutafuta rafiki wa kike ambaye kwa baadae aje awe my wife to be.Niko Lindi umri miaka 26.
Kabila ni Sukuma asiwe mwanachuo na ikiwezekana atokee au awe wa Kanda ya Ziwa au Raska Zone