Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

T
14 Reactions
232 Replies
25K Views
Sabakher Wadau; Hiki Ninachoandika Sina Uhakika Nacho Na Ila nina Mifano Yake! Kuna Mzee Hapa Nyumba Ya Pili! Yaan Now Kafikisha Hata 65 yrz! Lakin Anagonga Chabo Balaa! Tumemfuma Mara 5...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Miezi kadhaa iliyopita wakati cjapanda cheo nilikuwa nikitumia jina la Galadudu tu nilileta uzi hapa nikiwaambia jinsi ambavyo niliota nimekutana na member mmoja wa Jf (cjui kabisa alikuwa ni nani...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na ni mkristu. Mwaka 2013 nilitokea kuingia katika mahusiano na msichana mmoja mwenye dini ya kiislamu ambapo mapenzi yetu yalidumu mpaka wiki iliyoisha...
4 Reactions
92 Replies
15K Views
Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika zote umelalaga tu kama gogo, mapenzi ni raha na sio karaha, khaa! Stukeni jamani.
3 Reactions
157 Replies
33K Views
Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri. Imani yangu ni kwamba yupo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Joao Pereira, alimkuta penguin yupo mahutuki karibia kufa, akamchukua akamsafisha na kumtibu. Hakutaka kumfuga bali alipopona alimuachia akaenda zake. Kitu cha ajabu ni kwamba kila mwaka huyo...
10 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari wakuu, Mimi nina swali hivi ni sahihi kweli kwa mwanamke ambae ameolewa kumsifia mwanamme mbele ya mme wake. Mfano nampenda kaka flani,kaka yule mzuri.
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi... Sikuwa na hili wala...
0 Reactions
96 Replies
27K Views
Si kale ka mvua ka asubuhi nikachukua mwavuli nikasema nikanunue chapati, sasa kufika nikakuta mama wa chapati hajapika sasa wakati narudi home nikaona kuna kibobo cha maandazi nikasema embu ngoja...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Sorry sijui kwanini msichana akihisi kauchumi kako kameyumba anasema naona umepata mwingine bora tuachane is it no money no honey?
1 Reactions
95 Replies
9K Views
Habarini Wadau, Nina hilo swali kuwa Je huwa hawa dada zetu wa kikurya huwa wanapenda kuolewa kwa harusi? Hilo swali nimejiuliza sana kwasababu mbili: 1) Nimehudhuria harusi nyingi kiasi ila...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Nimefuatilia sana hili suala nimekuja kuona wanaume waliojiajiri wanazimiwa sana na wasichana mfano mimi nilipokuwa nimeajiriwa nilikuwa nikimtokea msichana anakataa sana, ila nilipojiajiri...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
igweeeeeeeeeeeeee, (Basi wana j isiwe mzozo na gumzo najua nimecopy from someone here in JF) back to the topic. Mimi nimepanga hapa Ubungo Kibo kwenye nyumba fulani yenye wapangaji wawili mimi...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Ijapokuwa mimi sio mpenzi wa haya manyimbo ya taarab lakini nimepata kusikia kipande kwenye mashairi ya mzee yusuf ambayo yamenisikitisha sana. Mzee yusuf (MY) alikuwa akiimba huku akiitikiwa na...
2 Reactions
51 Replies
10K Views
Habari za asubuhi bandugu, Kama ilivyo desturi yangu ya kujaribu kudodosa vitu vilivyo mtambuka japo yawezekana umri wangu ukawa bado haujafikia kuwaza hayo masuala niliona yafaa kuyajua kwa kina...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
SIO KILA RAFIKI KWAKO ANAWEZA AKAWA RAFIKI YAKO WA KWELI Katika Maisha haya ya Leo mtu anaweza akavaa uhusika wa kitu fulani ili tu,afaulu Mission yake kwako. Wanaume wengi na wanawake wengi...
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Ni kisa cha kweli kabisa pale ambapo teja ama kwa kufananisha ama kwa makusudi alipomkomalia konda wa daladala huku akiwa amebeba mtoto kwamba mtoto huyo ni wa Konda huku Konda akipigwa na butwaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Eti wandugu ni wakati gani unafaa kwa wanandoa kuzungumza mambo muhimu yanayowahusu.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina rafiki, anaomba ushauri. Ana boyfrend wake ambae yeye anampenda sana lakini issue in hii sasa. mkaka anamwambia mdada kuwa anampenda lakini kuna yafuatayo ambayo yanamuumiza best wangu...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…