Ni Rahisi Sana Kuacha Kujichua (PUL) Kuliko Kuacha Kupiga Chabo.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Hiki Ninachoandika Sina Uhakika Nacho Na Ila nina Mifano Yake! Kuna Mzee Hapa Nyumba Ya Pili! Yaan Now Kafikisha Hata 65 yrz! Lakin Anagonga Chabo Balaa! Tumemfuma Mara 5 Tumembunda! Mpaka Alilazwa! Ila Bado Yaan Akisikia Ukelele Tu! Huyu Hapa Mlangon! Kama Ni Nyumban Kwake Atapanda Hata Juu Ya Bati!! Baada Ya Kuwauliza Watu Wazima Ndo Wakaniambia Kijana! Ni Rais Sana Kuacha Pul Ila Sio Chabo!! Wanajamv Hebu Nisaidie Kuna Ukwel Hapo?
 
Kupiga chabo ni ugonjwa wa kisaikolojia unaitwa kwa kiingereza "Voyeurism".
Kujichua si ugonjwa na hakuna madhara yoyote kwa afya.Kila mtu anajuchua ata babu na bibi zetu na watoto wetu.Pia kuacha ni rahisi.
 
Back
Top Bottom