Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Ni kisa cha kweli kabisa pale ambapo teja ama kwa kufananisha ama kwa makusudi alipomkomalia konda wa daladala huku akiwa amebeba mtoto kwamba mtoto huyo ni wa Konda huku Konda akipigwa na butwaa.
Salama ya Konda ni pale mdada teja alipoamua kushuka na mtoto huyu baada ya kukoroma sana na kudai kutelekezwa na konda huyo na kusema ana bahati kuna mahali anakwenda la angembwagia mtoto huyo.
Huenda pia ni staili mpya ya kubambikiana kutokana na ugumu wa maisha.
Wewe ungefanyaje kama ungebwagiwa mtoto huyo?