General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,867
- 2,198
Miezi kadhaa iliyopita wakati cjapanda cheo nilikuwa nikitumia jina la Galadudu tu nilileta uzi hapa nikiwaambia jinsi ambavyo niliota nimekutana na member mmoja wa Jf (cjui kabisa alikuwa ni nani lakini huwa ni machachari sana kwny post na comment zake) huku mi nikiwa na mpenzi wangu na akafanya mapinduzi ya haraka akanichukua huku likitokea varangati kubwa kati ya member na mpenzi wangu........
Sasa hiyo ndoto nimeiota tena jana ikiwa ktk mazingira tofauti.....nilisafiri kwa shughuli zangu binafsi ( huku nikiwa nimeacha lile sakata la jamaa aliyefumaniwa na mke wake chooni anagegeda mbwa akiwa kituo cha polisi akisubiri kuburuzwa kizimbani).......sasa nikiwa huku mkoa ucku nikaota tena:- eti nipo na yule yule mwana Jf (ambae kwa kweli cfahamu kabisa hata humu anatumia avatar gani, ila najua tu ni mwana jf mwanamke) tumesafiri safari ya mbali tu, na baada ya kufika huko tukachukua chumba hotel, tulifanya matembezi ya hapa na pale na ucku baada ya kula na kunywa tukaingia kulala......kwa kweli tuligegedana KULIKOTUKUKA, cha ajabu sasa eti akaanza kunilazimisha nimfumue marinda!!
Nilipokataa ulitokea ugomvi mkali sana mle chumbani, mwanadada alikuwa kachachamaa kudai afumuliwe rinda...... akainua meza ndogo iliyokuwa mle chumbani kunipiga nayo, ghafla nikastuka ucngizini....!!
Hivi hii ndoto inamaanisha nini jamani, maana inatokea kwa mara ya pili na muhusika ni huyo huyo mmoja, au hapa nianze kuamini ule msemo ULIOTUKUKA wa lisemwalo lipo kama halipo.......hebu nichangieni mawazo yenu