Muda wa kuzungumza na mwenza

Eti wandugu ni wakati gani unafaa kwa wanandoa kuzungumza mambo muhimu yanayowahusu
Muda wowote japo kama mna watoto na anashughulika nao mpaka walale basi muda muafaka ni pale familia yenu yote inapokua imelala usingizi na ninyi mkawa macho ktk hali ya utulivu na mkazungumza japo duh! hili mbona ni jambo wala siyo la kuuliza hata
 
Mbona Ni swali nzurii tuu..yaani Mi nashauri..kama unaona thread imekubore piaa tu
.onyesha ukomavu Wa GT...sasa ukitukana ndo nini
.duu..OK dear..muda mzuri Ni usiku kabla hamjalala Na mjitahidi msikwazane ili madaa yenuu uende vizuri.
 
Wanawake wengi huwa wanaanza kuyakoroga mnakuta mmeshakwazana na wakati huo kabana miguu unadhani motion itaeleweka kweli!
 
Inategemea na uzito wa tatizo,lakini kwangu mimi kama nijambo la watoto humsubiri akisha maliza kukoga kusali kula,nikiwa nae chumbani kwenye kupumzika ndio napata kama 1hr yakuongelea mambo ya siku nzima kabla hatuja lala,lakini kuna mengine yana umuhimu anahitajika atoe maamuzi hayo tunaongea anytime..........
 
Eti wandugu ni wakati gani unafaa kwa wanandoa kuzungumza mambo muhimu yanayowahusu
Wakati wowote ila mazingira yaliyotulia..Kama upo na watoto unaweza ukawatoa -out mnaenda mahali palipotulia na kwenye michezo ya watoto wakati watoto wanaruka ruka huku na kule chini ya uangaliz wa dadaa basi nyie mnatumia mda huo kuteta 2,3 mkiwa mmekaa kwenye garden iliyotulia( table for two only) Ama mnaenda kuspend night yote kwenye hotel nzur huko usikivu huwa mkubwa mno kuliko kila siku kuongelea hme kitanda kile kile chumba kile kile...
 
Eti wandugu ni wakati gani unafaa kwa wanandoa kuzungumza mambo muhimu yanayowahusu
Ulicho uliza ni sahihi,ingawa watu humu ndani wanaona umeuliza swali la kitoto,constructive conversation yoyote ukiacha ya wanandoa tu yanahitaji right time na right place,sasa kwa mfano wa huyu ndugu yangu hapa kwa mimi naona muda mzuri ni usiku wakati mmetoka kufurahia tendo la ndoa and mkiwa chumbani thats it.
 
Eti wandugu ni wakati gani unafaa kwa wanandoa kuzungumza mambo muhimu yanayowahusu
tunakoelekea na hii jf watu wataanza mpaka kuomba ushauri wa mikao gani ya kufanya mapenzi na wake zao.

kujibu swali lako, hakuna muda muafaka wa kudiscuss mambo yenu kama pale mmoja wenu anapokuwa yupo kwenye haja kubwa maana pale anakuwa katuliza akili, kwahiyo mfuate mjadiliane kuhusu mipango ya maisha.
 
Back
Top Bottom