Kwa wadada walio serious na maisha ya ndoa naitaji mchumba

Kwa wadada walio serious na maisha ya ndoa naitaji mchumba

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22

Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri.

Imani yangu ni kwamba yupo ambaye atajitokeza na mambo yatakuwa mazuri

Duuuh mkuu hukat tamaa yani hii ni mara ya 6 unakuja hapa jukwaani kutafta mchumba
OK NAKUTAKIA MAFANIKIO ili usirud kwa mara ya 7
 
Oook kumbe ww ni mmojawapo mnaotumia JF ya bure Mimi ni verified member[emoji4]
Usitafute KIKI kwny thread ya mwanaume mwenzio
Wewe PNC1 ...ungekaa kimya unadhan ungepungukiwa na kitu..
Anaetafutwa mdada wewe mkaka unatafuta nn humu kwny hii thread!? !!?
Mxuiii!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Usitafute KIKI kwny thread ya mwanaume mwenzio
Wewe PNC1 ...ungekaa kimya unadhan ungepungukiwa na kitu..
Anaetafutwa mdada wewe mkaka unatafuta nn humu kwny hii thread!? !!?
Mxuiii!!!
Asante kwa kunipa madongo ila hv kila mtu JF angekuwa kimya hv JF ingefika hapa [emoji1] [emoji1] ucpanic na ndio mana humu kuna wakosoaji watia moyo n.k
 
Back
Top Bottom