Mwanamke kumsifia mwanamme mbele ya mme wake

Kwanza inabidi uelewe wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio chaguo lao ila atafanya nini wakati ndio kaishajiingiza kichwa kichwa na yeye anatamani ndoa anaona miaka inaenda bila ya anaempenda kumuoa mwanaume ndio huwa anaoa anaempenda
 
Hata wanaume huwa mna oa wanawake ambao sio chaguo lenu tena ni wengi ndio maana michepuko haiishi
 
Hoj

Hoja yako haina mashiko chukulia mwanaume ndio anayetongoza ndio anaetangaza ndoa na kiukweli huwezi kumuoa mtu ambae humpendi Mara nyingi mwanamke anaweza hata akatengana na buzi lake kisa kapata bwana wa kumuoa ila bado ataendelea nae cha mwisho hakuna mwanaume anaekwenda nje bure bure Mara nyingi huwa mistreated inapelekea hivyo
 
Ah ah ah et haina mashiko. Ngoja watu wazima waje watakuambia hich nikisemacho ni kweli kabisa. Yanatokea tena sana tu kama huamin fanya research kama watu kumi hiv au 15
 
Haha au umempakiza ktk corola inapita vogii anakwambia mwanaume huyo kapita.yaan talaka tu hapo bora ht amsifie mwanaume uzur klk amsifie mwenye hela ilhal we wa kipato ch kawaida.
 
Back
Top Bottom