Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Si kale ka mvua ka asubuhi nikachukua mwavuli nikasema nikanunue chapati, sasa kufika nikakuta mama wa chapati hajapika sasa wakati narudi home nikaona kuna kibobo cha maandazi nikasema embu ngoja ninunue haya haya.
Sasa nikaita 'maandazi' nikashangaa ametokea dada watu amevaa kanga tu halafu ameloa maji mwili mzima sijui ndo alikuwa anapambana kuyachota yale ya mvua mi hata sikuelewa.
Yaani ile kanga imeshika mwili utasema yupo uchi. Boobs zote nje nje huku chini ndo usiseme maana nilikuwa naona mpaka rangi ya kufuli maana ile kanga ilimganda vibaya mno.
Sasa kwa kuwa sikutegemea hali kama ile nlijikuta nakuna kichwa huku namuangalia, ikawa kama macho yamegongana sasa sijui aliona aibu au nini, nikaona anatabasamu.
Sasa kimoyoni wakati ndo anakuja nikasema hapa huyu mrembo lazima nimchombeze hapa hata ikibidi anigaie namba. Maana kwa kweli kwa mwanaume rijali kama mimi that was too much aisee.
Sasa ile ananihudumia tu nikaona katokeza dada mwngine anakuja kununua maandazi, sasa akawa ameshaniharibia mipango yangu yote ya kumchombeza yule mrembo. Nikatoa zangu hela fasta nikasepa. Ila kwa kweli nlikuwa kwenye hali mbaya sana. Yaani kwa ufupi yule dada alikuwa anaonekana uchi kabisa.
Nimefika home natafakari ile hali sikupata jibu kabisa ukizingatia last week kuna dada muuza mboga aliniweka pia kwenye wakati mgumu sana and this time ni huyu wa leo.
Nahisi hapa in one week to come naweza kupata tukuyu hizi signal sio kabisa. Lakini na nyie wadada msitufanyie hivo, mwanaume rijali unamvalia kanga iliyoshikana na mwili this is too brave.