Wanawake wasiojua kukata mauno


Mdau Makin

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Messages
771
Likes
144
Points
60
Mdau Makin

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2014
771 144 60
we endelea kukatika tu utavuna ulichipanda........ sie twaenda kusaka noti
Nyinyi ndio hamuwajali waume zenu, alafu kesho mnalialia hapa ooooh mara anakojoa ndani ya dakika mbili, mara mume wangu shughuli haiwezi.. visingizio kibao, Tatizo ni nyinyi
 
Patience123

Patience123

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2013
Messages
4,926
Likes
8,082
Points
280
Patience123

Patience123

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2013
4,926 8,082 280
Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno
hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia
dakika zote umelalaga tu kama gogo,.Mapenzi ni raha na
sio karaha,... khaaa! Stukeni jamani.
Kama hajui mfundishe...na kama hawezi mkatikie wewe.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,772
Likes
5,365
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,772 5,365 280
Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno
hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia
dakika zote umelalaga tu kama gogo,.Mapenzi ni raha na
sio karaha,... khaaa! Stukeni jamani.
Huyo demu wako.hawezi kuwa mmakonde
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,330
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,330 280
Nyinyi ndio hamuwajali waume zenu, alafu kesho mnalialia hapa ooooh mara anakojoa ndani ya dakika mbili, mara mume wangu shughuli haiwezi.. visingizio kibao, Tatizo ni nyinyi
sipo kwenye ulimwengu huo wa kwako mume ndio nini mimi pesa namba 1 mwanaume apite hivi sina habari....eti hatuwajali kwani tulizaliwa nao sisi,....wewe wacha kunitania aisee
 
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
6,070
Likes
4,350
Points
280
Age
28
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
6,070 4,350 280
hahahha JF inanipa RAHA asubuhi ya leo nimecheka mpaka basi, mleta mada huyo mwanamke ebu mtayarishe vizuri
mbona ukitayarishwa unakizungusha mwenyewe tena hata ujui umewezaje inakuja yenyewe tuu.. kuna wanawake wengine baada ya kujituma pale ili iwe wapewe zaidi ya kile wanachokitaka wanatumia sehemu ile kama yakuombea mahitaji yao
wakati wange jituma pale wangepata vingi lakini unasikia "baby nataka mobile" wakati wala sio sehemu yake..
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,330
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,330 280
Sasa yeye kama tayari alishajaaliwa noti na ana vitega uchumi vyake unataka muwe sawa?
mtu anayeamka mapema na asubuhi na kuanza kuwaza kukata kiuno hajajaliwa lolote zaidi ya umalaya ..... asubuhi unawaza kazi usiku unawaza kiuno hana kazi huyu nakwambia
 
MarianaTrench

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
1,216
Likes
723
Points
280
MarianaTrench

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
1,216 723 280
Hakuna anaezaliwa anajua. Halafu kama unampenda na unaona hajui kwa nini usimwambie? Unataka ready made?
Mwambie "mama mimi nataka hivi..." maisha yanaendelea. ULivyopost hapa unauhakika gani kama ujumbe umefika? Au unaiambia michepuko yako ijue unachotaka hadharani?
Hold your manners, talk to her.
Usikasirike lakini tunaelewashana tu.
 

Forum statistics

Threads 1,214,405
Members 462,704
Posts 28,511,052