Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

RASAK

Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
19
Reaction score
8
Sorry sijui kwanini msichana akihisi kauchumi kako kameyumba anasema naona umepata mwingine bora tuachane is it no money no honey?
 
mi nina mfano hai!!!kuna wenye hizo tabia...
 
usukuma wangu ndo uliniponza!!tatizo wasukuma tunajifanya tunajuaga mno kudodonkea!!!

Nasikia wasukuma wanajua kupenda.. akikupenda anakupenda kweli kweli....

Sa hivi umepata kumbatio la dhati lakini????
 
Huyo anakua hana mapenzi ya kweli..Alikua na wewe sababu ya pochi yako
 
Nyie wenyewe ndo mnatanguliza hela...unakutana na mkaka anajifanya anazo kumbe anaishi kwa Dada yake
 
Utasikia kanasema eti "Siku hiz huvutii hata kutoka na wewe". Cjui sasa mtoke mwende wapi na wakat huo mko nje.
 
Kama kuyumba kidogo hawezi kukuvumilia je yakija matatizo haswa si atakukimbia wala usimwone tena?
 
Back
Top Bottom