Nimejaribu nimeshindwa

~kujikomba kwa mtu asiyenitaka, NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kushare na mtu demu mmoja huku najua NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kutembea na mke wa mtu hata anihonge pesa NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile hata kama kataka mwenyewe NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kujionesha kwa demu kama mi matawi ya juu wakati mi wa nguna bamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kukubali kuwekwa king'asti na mwanamke NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... haya ni yangu najua na we una yako si vibaya tukashare hapa. ila mwishon unamalizia na kibwagizo NIMEJARIBU NIMESHINDWA.....
Kuwa na mwanaume mwenye kibamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA"
 
kufikiria kupata kikubwa nisichokuwa na uwezo nacho ili hali sina kidogo nilicho na uwezo naho NMEJARIBU NIMESHINDWA
 
Back
Top Bottom