Mwalimu: Mwanafunzi wangu wa kike ananitaka kimapenzi.. Kila siku hukaa mbele tena kihasara

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,873
34,365

Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...

Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua kunikumbuka mwalimu wake..

Zawadi aloniletea ilinifanya nishike kichwa maana sikutegemea.Yule mwanafunzi aliniletea chupi aina ya boxer 3 na tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu uchi darasana nikiwa nafundisha kwa vile anakaa viti vya Mbele....

Nikiwa kama mwalimu, nimejaribu kutumia viboko ili kumuonesha kwamba sina mpango naye lakini bado imeshindikana..

Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote.

kibongo bongo mtoto wa mwenzio demu wako
 
Hii post imerudiwa,lkn sio mbaya Nitumie namba yake nimchane

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote"

Pole mwalimu
Ingekuwa maadili ya kazi hayakubani ungefanyaje?
Binti kakudharau na kukuona kwamba wewe ni type yake, sasa kama utaamua kujishusha, sijui utaendeleaje kufundisha hilo darasa.
Au una hamu ya kuitwa shemeji na wanafunzi wa shule hiyo?
Siku utakapogombana na mwanafunzi ambaye ndiyo boyfriend wa hako kabinti, tena kwenye eneo la shule ndiyo utakapojua jinsi ya kufunga zipu.
 
Mi naona ungeomba uamishe darasa la juu zaid au chini ukiendelea kumuona uyo mwanafunzi utakuja ck kuingiwa na tamaa utajutia maamuz yko
 
Rahisi sana sana niliwafanyia wengi.....nikakuona umekaaa uchi purposely nakufuata kimya kimya, huku naendelea kugundisha, labda na narrate kitu si unakua unazunguka darasa kidogo? Nikifika kwako nainama na kukunong'oneza kuwa, nimeshakuona, sio vizuri kaa vizuri. Na kesho ukirudia tena, I used to joke but kugikisha ujumba mbele ya darasa, nawaambia waxi wazi kuwa " hsya haya jamani, ambaye hajafunga duka lake afunge" halafu labda itawatania kidogo kuwa maduka yenyewe machafu.....so unakuwa umemkata stimu muhusika
 
Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...

Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua kunikumbuka mwalimu wake..

Zawadi aloniletea ilinifanya nishike kichwa maana sikutegemea.Yule mwanafunzi aliniletea chupi aina ya boxer 3 na tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu uchi darasana nikiwa nafundisha kwa vile anakaa viti vya Mbele....

Nikiwa kama mwalimu, nimejaribu kutumia viboko ili kumuonesha kwamba sina mpango naye lakini bado imeshindikana..

Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote.

mwalimu,
1.inaonekana huwa unavaa suruali kata K afu dogo kaona chupi yako imetoboka au inaviraka so akaona akusaidie mana anajua shida za waalim

2.usione anakutaka bali anakufanya komedi uonyeshe kihoja kingine afu akusaidie

3.futa akilini mwako kuwa mwanafunzi anaeleweshwa kwa kutumia vitisho na fimbo ndo mana mnafelisha ovyo

4.anza mazoezi ya kwenda kuishi magereza miaka 30
 
Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...

Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua kunikumbuka mwalimu wake..

Zawadi aloniletea ilinifanya nishike kichwa maana sikutegemea.Yule mwanafunzi aliniletea chupi aina ya boxer 3 na tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu uchi darasana nikiwa nafundisha kwa vile anakaa viti vya Mbele....

Nikiwa kama mwalimu, nimejaribu kutumia viboko ili kumuonesha kwamba sina mpango naye lakini bado imeshindikana..

Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote.

Na wewe ndo hiyo type na ndo maana huyo mwanafunzi amekuwa na tabia hiyo,Wewe uliruhusu tabia hiyo sasa unataka tukushauri nini? Na si ajabu ulishampitia hapa unaleta unafiki tu.
 
Back
Top Bottom