Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
SIO KILA RAFIKI KWAKO ANAWEZA AKAWA RAFIKI YAKO WA KWELI
Katika Maisha haya ya Leo mtu anaweza akavaa uhusika wa kitu fulani ili tu,afaulu Mission yake kwako.
Wanaume wengi na wanawake wengi waliofaulu Maishani ni wale wenye Mahusiano Mazuri yenye Urafiki wa Karibu na Wapenzi wao.
Sio Kila Rafiki anafaa kuwa Rafiki yako Maishani.
Kuna Watu ninaowajua wamefanikiwa through Friends,
na wengi ninaowafahamu Maisha yao yamebomoka kupitia hao hao Marafiki.
Nyakati hizi tunazoishi ni zile zinaitwa "FRIENDS IN BENEFIT" yaani Rafiki wa Faida.
Bado Ile agenda ya MUNGU ya wawili kuwa mmoja inafanya kazi vizuri sana mpaka leo kama tu utaiheshimu.
Wanaume wengi tunafeli kwenye plani nyingi sana maishani kwasababu ya kutokuwashikisha wake zetu kile kinachoendelea kwa shughuli na kazi zetu za Kila siku ninamaanisha Biashara na mishe mishe zote zinakupatia CASH.
Instead tunawapatia mipango mingi Rafiki zetu ndo wanakuwa wanajua mengi kuliko hata Wake zetu. Hii ni faulo kubwa sana Maishani. Na ukitakata MUNGU abariki mausiano yenu then lazima uheshimu Mchango wa huyu Mwanamke aliyekupa.
Kwanini nasema hivyo? Kwa taarifa yako MUNGU aliweka "UFAHAMU" mwingi sana kwa Mwanamke kuliko Mwanaume. Ila Mwanaume alipatiwa AKILI nyingi sana lakini "UFAHAMU KIDOGO"
So hivi vitu vikiwa separate mambo huwa hayaendi kwasababu tunakuwa nje ya mpango wa MUNGU. Hata tuwadharau vipi eti kwasababu Sisi ni Wanaume, remember one thing You're a MAN but she's also a "MAN WITH A WOMB" though we call her "WOMAN" don't
Despise her she's more the Mother of your Children,
Hivyo ni vyema ukamshirikisha mkeo kwa kila jambo, nanyi mkio single au wanandoa watarajiwa ni vyema umshirikishe mtarajiwa wako mambo muhimu ya maisha