Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini Wadau,
Nina hilo swali kuwa Je huwa hawa dada zetu wa kikurya huwa wanapenda kuolewa kwa harusi? Hilo swali nimejiuliza sana kwasababu mbili:
1) Nimehudhuria harusi nyingi kiasi ila sijawahi kumwona binti wa kikurya akiolewa kwa harusi tofauti na makabila mengine.
2) Nimewahi kuambiwa kuwa wengi wao hawapendi hizo swaga za kuolewa kwa harusi then wengi wao ni wasabato (Nikajiuliza hivi wasabato hawanaga harusi)
3) Pia yupo binti mmoja wa kikurya jirani hapa ana weusi flan wa kuteleza na amevuta room haswa,guu na kalio lipo haswaa sasa nimeanza kumvutia picha kumtokea na kuishi naye ila kwa kupitia ndoa na harusi kabisa.
Upi ni ukweli? Mabinti wa kikurya wanapenda kuolewa kwa harusi au lah?