TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
igweeeeeeeeeeeeee,
(Basi wana j isiwe mzozo na gumzo najua nimecopy from someone here in JF) back to the topic.
Mimi nimepanga hapa Ubungo Kibo kwenye nyumba fulani yenye wapangaji wawili mimi na rijamaa(lijamaa) furani(fulani) ri baunsa kutoka Mara kama lenyewe linavyojiita. Kiukweli jamaa huwaga halicheki lakini nashindwa kumuelewa mke wake,tabia alokuwa nayo ya kunisifia kila ninavyoenda kazini.
Mda wangu wa kuondoka saa moja na nusu basi huyu mdada ananisubiria mlangoni ataanza oooh! Shemeji umependeza muda mwingine huwa najiuliza sijui nimuimbishe niweke heshima lakini nikimfikiria mumewe na ukauzu wake nashindwa hata kumeza mate kiukweli namuogopa.
Wadau naombeni ushauri njia gani nitumie ili huyu dada aache kunisifia nimependeza kwani ananiweka majaribuni mana mtu mwenyewe mimi chapa ilale sitaki anisifie.